Quotessence
Home / Quotes / Quote / Image

Quote image editor Enock Maregesi

Back to previous page

“Kirusi cha SARS-CoV-2 kina akili zaidi kuliko binadamu; kwani kinajua sehemu salama ya chenyewe kuishi ni ndani ya seli ya binadamu ambapo kitajificha na kujichanganya na mfumo wa seli, kiasi cha sayansi yote ya kibinadamu kushindwa kukiua bila kwanza kuua seli nzima! Lakini binadamu ni hatari zaidi kuliko kirusi cha SARS-CoV-2, kwa sababu binadamu huyohuyo ameshindwa kumwamini Mungu japo anamjua.” — Enock Maregesi

Quote 1080 x 1350 Instagram portrait
More
Platforms
Pure ratios
Kirusi cha SARS-CoV-2 kina akili zaidi kuliko binadamu; kwani kinajua sehemu salama ya chenyewe kuishi ni ndani ya seli ya binadamu ambapo kitajificha na kujichanganya na mfumo wa seli, kiasi cha sayansi yote ya kibinadamu kushindwa kukiua bila kwanza kuua seli nzima! Lakini binadamu ni hatari zaidi kuliko kirusi cha SARS-CoV-2, kwa sababu binadamu huyohuyo ameshindwa kumwamini Mungu japo anamjua.
— Enock Maregesi