Quote image editor
“Dikteta uchwara ni sifa nzuri au sifa mbaya? Tafakari. JPM ni kipenzi cha watu. Lissu ni kipenzi cha watu pia. Kupambana na kipenzi cha watu si kazi rahisi.” — Enock Maregesi
Dikteta uchwara ni sifa nzuri au sifa mbaya? Tafakari. JPM ni kipenzi cha watu. Lissu ni kipenzi cha watu pia. Kupambana na kipenzi cha watu si kazi rahisi.