Quotessence
Home / Quotes / Quote / Image

Quote image editor Enock Maregesi

Back to previous page

“Leo ni siku ya kumbukumbu ya giza lililoingia katika familia ya Enock Maregesi. Tarehe 4/11/14 ni siku nuru ya mwanga wa maisha ya nyanya yangu mpenzi Bi Martha Maregesi ilipozimika huko Musoma. Leo ni miaka miwili ametimiza akiwa kimya kabisa! Sikisikii tena kicheko chake wala siisikii tena hekima yake! Familia yake inamkumbuka sana. Palipokuwa kwake ni nyumbani kwetu. Hatuwezi kusahau upendo wake na umuhimu wake kwetu. Tulimpenda sana, lakini Mungu wa mbinguni alimpenda zaidi.” — Enock Maregesi

Quote 1080 x 1350 Instagram portrait
More
Platforms
Pure ratios
Leo ni siku ya kumbukumbu ya giza lililoingia katika familia ya Enock Maregesi. Tarehe 4/11/14 ni siku nuru ya mwanga wa maisha ya nyanya yangu mpenzi Bi Martha Maregesi ilipozimika huko Musoma. Leo ni miaka miwili ametimiza akiwa kimya kabisa! Sikisikii tena kicheko chake wala siisikii tena hekima yake! Familia yake inamkumbuka sana. Palipokuwa kwake ni nyumbani kwetu. Hatuwezi kusahau upendo wake na umuhimu wake kwetu. Tulimpenda sana, lakini Mungu wa mbinguni alimpenda zaidi.
— Enock Maregesi