Quotessence
Home / Quotes / Quote / Image

Quote image editor Mtumishimama

Back to previous page

“Nipe muda, kwani kila jambo lina wakati wake. Usinihukumu kwa hatua za sasa, maana kila hatua ina msimu wake, kama ilivyoandikwa katika Mhubiri 3:1. Kila hatua ni sehemu ya safari yangu ya kuelekea kileleni.” — Mtumishimama

Quote 1080 x 1350 Instagram portrait
More
Platforms
Pure ratios
Nipe muda, kwani kila jambo lina wakati wake. Usinihukumu kwa hatua za sasa, maana kila hatua ina msimu wake, kama ilivyoandikwa katika Mhubiri 3:1. Kila hatua ni sehemu ya safari yangu ya kuelekea kileleni.
— Mtumishimama