Quotessence
Home / Quotes / Quote / Image

Quote image editor Enock Maregesi

Back to previous page

“Kama umeamua kuoa au kuolewa ukiwa na umri wa kati ya miaka 18 na 40, kulingana na kanuni ya kuachana na ukapera (‘optimal stopping’) umri wa kuwa na msimamo kuhusiana na mtu utakayeoa au kuolewa naye ni baada tu ya kufikisha umri wa miaka 26. Kabla ya hapo kuna uwezekano ukakosa wachumba bora, baada ya hapo wachumba bora wanaweza kuanza kupotea, hivyo kukupunguzia uwezekano wa kumpata mke au mume aliye mwema.” — Enock Maregesi

Quote 1080 x 1350 Instagram portrait
More
Platforms
Pure ratios
Kama umeamua kuoa au kuolewa ukiwa na umri wa kati ya miaka 18 na 40, kulingana na kanuni ya kuachana na ukapera (‘optimal stopping’) umri wa kuwa na msimamo kuhusiana na mtu utakayeoa au kuolewa naye ni baada tu ya kufikisha umri wa miaka 26. Kabla ya hapo kuna uwezekano ukakosa wachumba bora, baada ya hapo wachumba bora wanaweza kuanza kupotea, hivyo kukupunguzia uwezekano wa kumpata mke au mume aliye mwema.
— Enock Maregesi