Quote image editor
“Hii ndiyo kanuni ya nguvu ya uvutano: Kuamini = kujua! Haijalishi unamwamini Mungu au haumwamini. Kugeuza kuamini kuwa kujua si kazi rahisi hata kidogo, lakini ukigeuza kuamini kuwa kujua utafanikiwa.” — Enock Maregesi
Hii ndiyo kanuni ya nguvu ya uvutano: Kuamini = kujua! Haijalishi unamwamini Mungu au haumwamini. Kugeuza kuamini kuwa kujua si kazi rahisi hata kidogo, lakini ukigeuza kuamini kuwa kujua utafanikiwa.