Quote image editor
“Mzazi hamjui mtoto wake na mtoto hamjui mzazi wake. Kila mtu hapa duniani ni wa kipekee na wanasayansi wanatuambia kuwa tuko peke yetu hapa ulimwenguni. Lazima tujifunze kupendana na kuheshimiana.” — Enock Maregesi
Mzazi hamjui mtoto wake na mtoto hamjui mzazi wake. Kila mtu hapa duniani ni wa kipekee na wanasayansi wanatuambia kuwa tuko peke yetu hapa ulimwenguni. Lazima tujifunze kupendana na kuheshimiana.