Quote image editor
“Yeyote anayekosoa kwa kutafuta makosa ya mipango yako bila kujua mipango yako ilivyojijenga ni mwaribifu. Mtu yeyote anayevunja itifaki za uongozi hawezi kufanikiwa maisha. Mungu huinua wenye unyenyekevu” — Kennedy Mmbando
Yeyote anayekosoa kwa kutafuta makosa ya mipango yako bila kujua mipango yako ilivyojijenga ni mwaribifu.
Mtu yeyote anayevunja itifaki za uongozi hawezi kufanikiwa maisha.
Mungu huinua wenye unyenyekevu