Quotessence
Home / Quotes / Quote / Image

Quote image editor Enock Maregesi

Back to previous page

“Mafundisho mengine ambayo si ya kweli ya Ukristo ambayo hutokana na utambuzi wao wa matukio haya ni ‘Siku ya Bwana’. Makanisa ya Kikatoliki na Kiprotestanti kote duniani yanaonekana kuwa na nia njema lakini huwadanganya watu kuamini kuwa Kristo alibadili siku ya kupumzika kutoka Sabato kwenda Jumapili. Angewezaje kufanya hivyo? Angeweza kufanya hivyo kwa ufufuo wake!” — Enock Maregesi

Quote 1080 x 1350 Instagram portrait
More
Platforms
Pure ratios
Mafundisho mengine ambayo si ya kweli ya Ukristo ambayo hutokana na utambuzi wao wa matukio haya ni ‘Siku ya Bwana’. Makanisa ya Kikatoliki na Kiprotestanti kote duniani yanaonekana kuwa na nia njema lakini huwadanganya watu kuamini kuwa Kristo alibadili siku ya kupumzika kutoka Sabato kwenda Jumapili. Angewezaje kufanya hivyo? Angeweza kufanya hivyo kwa ufufuo wake!
— Enock Maregesi