Quotessence
Home / Quotes / Quote / Image

Quote image editor Enock Maregesi

Back to previous page

“Mlaodikia ni mtu anayejua kwamba bustani yake ina magugu lakini anaona uvivu kwenda kuipalilia. Kinachofanya aone uvivu kwenda kuipalilia ni raha za dunia hii. Usiwe vuguvugu. Kama umeamua kuwa moto kuwa moto. Kama umeamua kuwa baridi kuwa baridi.” — Enock Maregesi

Quote 1080 x 1350 Instagram portrait
More
Platforms
Pure ratios
Mlaodikia ni mtu anayejua kwamba bustani yake ina magugu lakini anaona uvivu kwenda kuipalilia. Kinachofanya aone uvivu kwenda kuipalilia ni raha za dunia hii. Usiwe vuguvugu. Kama umeamua kuwa moto kuwa moto. Kama umeamua kuwa baridi kuwa baridi.
— Enock Maregesi