Quote image editor
“Watu wengi tu vipofu wa kiroho! Ili tupone lazima tumtii na kumwamini Yesu Kristo, kama Yesu alivyomponya yule kipofu wa Siloamu kwa sababu alimtii na kumwamini, hata kama hatuwezi kuuona uso wake.” — Enock Maregesi
Watu wengi tu vipofu wa kiroho! Ili tupone lazima tumtii na kumwamini Yesu Kristo, kama Yesu alivyomponya yule kipofu wa Siloamu kwa sababu alimtii na kumwamini, hata kama hatuwezi kuuona uso wake.