Quotessence
Home / Quotes / Quote / Image

Quote image editor Pauline Kea

Back to previous page

“Hapo basi - kijikeki. Kwa nini wewe upate kidogo? Sagamoyo ni kwenu, sherehe ni zenu, ufanisi ni wenu na keki kubwa ni ya kina nani? Uhalisia wa mambo umekusibu; fungua macho uone. Keki ya uhuru imeliwa kwingine, mwaletewa masazo.” — Pauline Kea

Quote 1080 x 1350 Instagram portrait
More
Platforms
Pure ratios
Hapo basi - kijikeki. Kwa nini wewe upate kidogo? Sagamoyo ni kwenu, sherehe ni zenu, ufanisi ni wenu na keki kubwa ni ya kina nani? Uhalisia wa mambo umekusibu; fungua macho uone. Keki ya uhuru imeliwa kwingine, mwaletewa masazo.
— Pauline Kea