Quotessence
Home / Quotes / Quote / Image

Quote image editor Enock Maregesi

Back to previous page

“Kuna aina tatu za upendo hapa ulimwenguni. Kuna upendo wa ‘agape’, upendo kati ya Mungu na binadamu na kati ya binadamu na binadamu mwenzake lakini hao binadamu shuruti wawe marafiki wa msalaba wa Yesu Kristo. Aidha kuna upendo wa ‘phileo’, upendo kati ya mtu na mtu au kati ya mtu na kitu au kati ya mtu na jambo; na kuna upendo wa ‘philadelphia’, upendo wa wanachama wa mashirika ya siri ambapo mtu humpenda mwenzake kama ndugu yake wakati si ndugu yake. Heri upendo wa ‘agape’ kuliko upendo ajmaina.” — Enock Maregesi

Quote 1080 x 1350 Instagram portrait
More
Platforms
Pure ratios
Kuna aina tatu za upendo hapa ulimwenguni. Kuna upendo wa ‘agape’, upendo kati ya Mungu na binadamu na kati ya binadamu na binadamu mwenzake lakini hao binadamu shuruti wawe marafiki wa msalaba wa Yesu Kristo. Aidha kuna upendo wa ‘phileo’, upendo kati ya mtu na mtu au kati ya mtu na kitu au kati ya mtu na jambo; na kuna upendo wa ‘philadelphia’, upendo wa wanachama wa mashirika ya siri ambapo mtu humpenda mwenzake kama ndugu yake wakati si ndugu yake. Heri upendo wa ‘agape’ kuliko upendo ajmaina.
— Enock Maregesi