Quotessence
Home / Quotes / Quote / Image

Quote image editor Enock Maregesi

Back to previous page

“Ramachandra maana yake ni mwezi. Mwezi ni setilaiti na mwezi unamulika. Ramachandra anaitwa setilaiti kwa sababu ya umuhimu wake katika bara la Asia. Anamulika India na bara zima la Asia, na Australia, kwa niaba ya Kolonia Santita. Ana miaka 44. Ana mke na watoto 6. Ni jambazi aliyekubuhu wa India.” — Enock Maregesi

Quote 1080 x 1350 Instagram portrait
More
Platforms
Pure ratios
Ramachandra maana yake ni mwezi. Mwezi ni setilaiti na mwezi unamulika. Ramachandra anaitwa setilaiti kwa sababu ya umuhimu wake katika bara la Asia. Anamulika India na bara zima la Asia, na Australia, kwa niaba ya Kolonia Santita. Ana miaka 44. Ana mke na watoto 6. Ni jambazi aliyekubuhu wa India.
— Enock Maregesi