Quotessence
Home / Quotes / Quote / Image

Quote image editor Enock Maregesi

Back to previous page

“Mzazi wako akikwambia kuwa usiwe mkorofi, usivunje sheria za nchi, usiwe na marafiki wabaya, na usiasi dhidi ya serikali, mheshimu kwa kukubali. Akikwambia kuwa uwe mkorofi, uvunje sheria za nchi, uwe na marafiki wabaya, na uasi dhidi ya serikali, mheshimu kwa kukataa.” — Enock Maregesi

Quote 1080 x 1350 Instagram portrait
More
Platforms
Pure ratios
Mzazi wako akikwambia kuwa usiwe mkorofi, usivunje sheria za nchi, usiwe na marafiki wabaya, na usiasi dhidi ya serikali, mheshimu kwa kukubali. Akikwambia kuwa uwe mkorofi, uvunje sheria za nchi, uwe na marafiki wabaya, na uasi dhidi ya serikali, mheshimu kwa kukataa.
— Enock Maregesi