Quotessence
Home / Quotes / Quote / Image

Quote image editor Enock Maregesi

Back to previous page

“Kiungo chochote kikikuuma ghafla na kuacha au kikiendelea kukuuma kwa muda fulani halafu kikaacha, halafu huna sababu ya kwa nini kinakuuma, angalia unawaza nini wakati kiungo hicho kinakuuma. Kisha lifanyie kazi wazo hilo kwa maombi hata ya sekunde tano! Funika tatizo hilo, hata kama hulijui, kwa damu ya Yesu!” — Enock Maregesi

Quote 1080 x 1350 Instagram portrait
More
Platforms
Pure ratios
Kiungo chochote kikikuuma ghafla na kuacha au kikiendelea kukuuma kwa muda fulani halafu kikaacha, halafu huna sababu ya kwa nini kinakuuma, angalia unawaza nini wakati kiungo hicho kinakuuma. Kisha lifanyie kazi wazo hilo kwa maombi hata ya sekunde tano! Funika tatizo hilo, hata kama hulijui, kwa damu ya Yesu!
— Enock Maregesi