Quotessence
Home / Quotes / Quote / Image

Quote image editor Enock Maregesi

Back to previous page

“Abra maana yake ni fursa. Kwa hiyo, geuza matatizo yako kuwa fursa. Lakini, utageuzaje matatizo yako kuwa fursa? Kugeuza matatizo yako kuwa fursa, amini kama unaweza, usitumie muda mwingi kufikiria tatizo, tumia muda mwingi kufikiria fursa. Ukipata tatizo usikate tamaa. Badala yake, geuza tatizo hilo kuwa faida.” — Enock Maregesi

Quote 1080 x 1350 Instagram portrait
More
Platforms
Pure ratios
Abra maana yake ni fursa. Kwa hiyo, geuza matatizo yako kuwa fursa. Lakini, utageuzaje matatizo yako kuwa fursa? Kugeuza matatizo yako kuwa fursa, amini kama unaweza, usitumie muda mwingi kufikiria tatizo, tumia muda mwingi kufikiria fursa. Ukipata tatizo usikate tamaa. Badala yake, geuza tatizo hilo kuwa faida.
— Enock Maregesi