Quotessence
Home / Quotes / Quote / Image

Quote image editor Enock Maregesi

Back to previous page

“Jukumu la kwanza la kanisa ni kueneza injili duniani kote kama tunavyoambiwa katika mathayo 24:14. Haijalishi utaieneza vipi, kwa sababu Mungu hajasema tuieneze vipi. Lakini la kwanza kabisa ni kuwa kwanza mwaminifu kwa Mungu kuweza kueneza injili duniani kote.” — Enock Maregesi

Quote 1080 x 1350 Instagram portrait
More
Platforms
Pure ratios
Jukumu la kwanza la kanisa ni kueneza injili duniani kote kama tunavyoambiwa katika mathayo 24:14. Haijalishi utaieneza vipi, kwa sababu Mungu hajasema tuieneze vipi. Lakini la kwanza kabisa ni kuwa kwanza mwaminifu kwa Mungu kuweza kueneza injili duniani kote.
— Enock Maregesi