Quotessence
Home / Quotes / Quote / Image

Quote image editor Enock Maregesi

Back to previous page

“Pesa ikitolewa kwa masharti mazuri chukua, kama masharti ya kibenki, si masharti mabaya kama ya kiganga, huyo anayeitoa si ya kwake. Pesa mbaya imebarikiwa na Shetani, ukiichukua umeingia agano na Shetani, jambo ambalo Mungu hapendi. Chukua pesa kutoka kwa mtu unayemjua ambaye hana masharti au hana masharti ya kishetani, au usiyemjua.” — Enock Maregesi

Quote 1080 x 1350 Instagram portrait
More
Platforms
Pure ratios
Pesa ikitolewa kwa masharti mazuri chukua, kama masharti ya kibenki, si masharti mabaya kama ya kiganga, huyo anayeitoa si ya kwake. Pesa mbaya imebarikiwa na Shetani, ukiichukua umeingia agano na Shetani, jambo ambalo Mungu hapendi. Chukua pesa kutoka kwa mtu unayemjua ambaye hana masharti au hana masharti ya kishetani, au usiyemjua.
— Enock Maregesi