Quotessence
Home / Quotes / Quote / Image

Quote image editor Enock Maregesi

Back to previous page

“Mzazi wako akikutuma kufanya jambo jema ukakubali umemheshimu. Akikutuma kufanya jambo jema ukakataa umemdharau. Lakini, mzazi wako akikutuma kufanya jambo baya ukakubali umemdharau. Akikutuma kufanya jambo baya ukakataa umemheshimu. Hivyo, mheshimu mzazi wako katika mambo mema na katika mambo mabaya.” — Enock Maregesi

Quote 1080 x 1350 Instagram portrait
More
Platforms
Pure ratios
Mzazi wako akikutuma kufanya jambo jema ukakubali umemheshimu. Akikutuma kufanya jambo jema ukakataa umemdharau. Lakini, mzazi wako akikutuma kufanya jambo baya ukakubali umemdharau. Akikutuma kufanya jambo baya ukakataa umemheshimu. Hivyo, mheshimu mzazi wako katika mambo mema na katika mambo mabaya.
— Enock Maregesi