“Ndani ya sekunde moja baada ya ulimwengu wetu kuumbwa, miaka bilioni kumi na tatu nukta saba tano iliyopita, chembe zote ndogo zinazopatikana ndani ya atomu zilitengenezwa. Zote hizo zimeshapatikana isipokuwa 'Higgs Boson', na 'Higgs Boson' ndiyo ya muhimu kuliko zote.” UniverseParticlesAtomUlimwenguHiggs BosonAtomu13 75 Years AgoChembeMiaka Bilioni 13 75 IliyopitaNdani Ya SekundeSplit Of A Second Author:Enock Maregesi