“Siku ya kwanza dhambi ya kwanza ilipotendwa Mungu alitoa kafara ya kwanza ya wanyama kwa ajili ya wazazi wetu wa kwanza Adamu na Hawa. Adamu na Hawa walikuwa uchi, baada ya kutenda dhambi, Mungu akawalaani lakini akawapa uwezo wa muda mfupi wa kutubu dhambi zao ili awasamehe! Kutokana na ngozi za wanyama hao walipata mavazi na kutokana na damu ya wanyama hao walipata fursa ya kuishi na kutubu dhambi zote walizozitenda. Bila hivyo wasingepata muda wa kusamehewa.” GodSinSacrificeBloodDressesAnimalsAdam And EveMunguDhambiDamuAdamu Na HawaWanyamaKafaraMavaziOur First ParentsWazazi Wetu Wa KwanzaConfession Of SinsAnimal SkinsKutubu DhambiNgozi Za Wanyama Author:Enock Maregesi
“But it is the grace of the Gospel, which is so hard for the pious to understand, that it confronts us with the truth and says: You are a sinner, a great, desperate sinner; now come, as the sinner that you are, to God who loves you. He wants you as you are; He does not want anything from you, a sacrifice, a work; He wants you alone.” ChurchConfession Of Sins Book:Life Together: The Classic Exploration of Christian Community Source: Life Together: The Classic Exploration of Christian Community