“Rais wa nchi ni mtu anayepaswa kuheshimiwa kuliko mtu yeyote nchini na anayepaswa kusaidiwa lakini si mtu ni taasisi ya kimataifa anayeheshimika duniani kote.” AnybodyWorldwideRais Wa NchiCountry S PresidentDuniani KoteInternational InstitutionMtu YeyoteTaasisi Ya Kimataifa Author:Enock Maregesi
“Rais wa nchi kama humwelewi hujui. Mambo anayoyasimamia ni makubwa kuliko mwananchi wa kawaida anavyoweza kuelewa.” CitizenMwananchiRais Wa NchiCountry S President Author:Enock Maregesi