“Kama kuna jambo la muhimu unapaswa kufanya kwa ajili ya kadari ya maisha yako na kipindi hichohicho kuna kipindi kizuri cha televisheni unakisubiria, au simu ya umbea, au kinanda cha shida, palilia bustani yako ya kiroho kwa kuachana na televisheni na simu na kufanya jambo la msingi kwa ajili ya maisha yako.” TelevisionGardenYour DestinyPhoneMaisha YakoSimuBustaniKadari Ya Maisha YakoKinanda Cha ShidaTelevisheni Author:Enock Maregesi
“Kamwe usikubali kuwa mvivu, wala usikubali kuwa mlaodikia. Usikubali starehe za dunia hii kuwa kikwazo cha maendeleo yako ya kiroho ya kadari ya maisha yako. Palilia bustani yako ya kiroho, kuondoa magugu ambayo ni raha za dunia hii.” LuxuryLazyHypocriteYour DestinyKadari Ya Maisha YakoMlaokidiaStareheMaendeleo Ya KirohoMvivuSpritual Progress Author:Enock Maregesi