“Ukiwa mchapakazi hodari mwenye msimamo na nia thabiti ya utendaji kazi unaweza kuwa mpweke kwa maana ya kuwa na marafiki wachache. Lakini mashabiki utakuwa nao wengi.” PurposeWorkFansFriendsLonelyConsistencyIndustriousStandVersatileKaziNiaMarafikiMashabikiHodariMchapakaziMpwekeMsimamoThabiti Author:Enock Maregesi
“Kama una akili, kama una uwezo wa kuota ndoto, na kama wewe ni mchapakazi hodari, hakuna kitakachoshindikana.” IntelligenceAkiliMchapakaziAbility To DreamHard Working PersonUwezo Wa Kuota Ndoto Author:Enock Maregesi