“Mtu akikupa pesa kwa ajili ya kufanyia kitu kibaya chukua. Kisha ipeleke polisi, ambapo utatoa taarifa zake pia.” MoneyInformationPoliceSomeoneMtuPesaPolisiTaarifaBad ThingKitu Kibaya Author:Enock Maregesi
“Si rahisi kumkamata mtu anayeandamana moyoni mwake.” HeartPersonMtuMoyoMaandamanoProtest March Author:Enock Maregesi
“Hakuna daktari anayeweza kuponya saikolojia ya mtu. Saikolojia ya mtu huponywa na mtu mwenyewe; nje ya ufahamu wa kawaida.” PsychologyManDoctorMtuConciousnessUfahamuDaktariSaikolojia Author:Enock Maregesi