“Watu wakiwa wamekasirika ongea nao jibu; usiongee nao tatizo.” PeopleProblemAnswerWatuJibuTatizo Author:Enock Maregesi
“Hakuna uponyaji pasipo imani ya kweli. Giza linapoingia katika maisha yako ongea na Mungu. Halafu ongea na tatizo linalokusumbua. Kama tatizo linalokusumbua ni saratani, iambie saratani iondoke na kamwe isirudi katika mwili wako tena. Baada ya hapo, nenda kwa mchungaji. Jiweke wakfu, kwanza, kabla ya kuombewa.” LifeProblemBodyHealingDarknessCancerPastorTrue FaithMaishaShepherdMwiliOrdainedTalk To GodGizaImani Ya KweliWakfuMchungajiTatizoOngea Na MunguOngea Na TatizoSarataniSpeak To The ProblemUponyaji Author:Enock Maregesi