“Baadhi ya watu wanatafuta mahali pazuri,Wengine wanatengeneza mahali kuwa pazuri.Wewe una geuza pazuri kuwa pabaya” Amani Author:Chrisper Malamsha
“Stress za mwanamke kuingia kwenye ndoa ni kubwa kuliko mwanaume ndo sababu hata Vitabu vinaonesha mwanaume ni kiongozi lakini mjini kiongozi ni hela” Quotes About LifeMwanamkeNdoa Author:Chrisper Malamsha
“Dunia nzima kuna ubaguzi wa Ndani na Nje toka miaka mingi tuu” RacesUbaguzi Author:Chrisper Malamsha
“Mimi ni mmoja kati ya wale wasiopenda maendeleo ya watu wachache au peke yako ndomana nimechagua mabadiliko katika maisha yangu sisubirii wanasiasa” PoliticsSiasa Author:Chrisper Malamsha