“Ukifuata kanuni ya nguvu ya uvutano uhitaji kujua jinsi utakavyofanikiwa. Kazi yako ni kuwaza tu kwa namna inavyotakiwa. Waza na amini kwa asilimia mia moja. Mengine yote mwachie Mungu au ulimwengu. Mungu pekee ndiye anayekupa njia na bahati, ili wewe ufanikiwe. Atakupa nguvu ya kufanya kazi na ujanja wowote utakaohitajika, katika harakati hizo za mafanikio yako.” WayBelieveGodSuccessUniverseLuckLaw Of AttractionThinkMunguMafanikioUlimwenguNjiaBahatiKanuni Ya Nguvu Ya UvutanoAminiOne Hundred PercentAsilimia Mia MojaWaza Author:Enock Maregesi
“Kitu cha kwanza jiulize unataka nini. Halafu omba, kwa mungu yoyote unayemwamini. Kisha amini, kwamba umepata, hadi utakapopata.” BelieveGodMunguAskAsk YourselfAminiOmbaJiulize Author:Enock Maregesi