“Ukifuata kanuni ya nguvu ya uvutano uhitaji kujua jinsi utakavyofanikiwa. Kazi yako ni kuwaza tu kwa namna inavyotakiwa. Waza na amini kwa asilimia mia moja. Mengine yote mwachie Mungu au ulimwengu. Mungu pekee ndiye anayekupa njia na bahati, ili wewe ufanikiwe. Atakupa nguvu ya kufanya kazi na ujanja wowote utakaohitajika, katika harakati hizo za mafanikio yako.” WayBelieveGodSuccessUniverseLuckLaw Of AttractionThinkMunguMafanikioUlimwenguNjiaBahatiKanuni Ya Nguvu Ya UvutanoAminiOne Hundred PercentAsilimia Mia MojaWaza Author:Enock Maregesi
“Usipofanya kazi kwa bidii na maarifa utaendelea kuuliza Mbagala tupande daladala gani, badala ya kuuliza Mbagala tupite njia gani.” WayWorkEffortKnowledgeKaziMaarifaNjiaBidiiDaladalaMbagalaUrban Shuttle Vehicle Author:Enock Maregesi
“Katika nyuma geuka ya gwaride, wa kwanza anakuwa wa mwisho, wa mwisho anakuwa wa kwanza. Geuka, ukifika mwisho wa njia. Huo ndiyo mwanzo wa njia nyingine.” FirstLastEnd Of The RoadParadeNyumaTurn AroundNjiaKwanzaMwanzoGeukaGwarideMwanzo Wa NjiaMwishoMwisho Wa Njia Author:Enock Maregesi
“Kikwazo kikubwa cha kwenda mbinguni ni kifo. Kikwazo kikubwa cha kwenda ahera ni uzima wa milele. Kikwazo kikubwa cha kwenda mbinguni ni Shetani. Kikwazo kikubwa cha kwenda ahera ni Yesu Kristo. Yesu Kristo ni njia iliyo huru ya kwenda mbinguni. Shetani ni njia iliyo huru ya kwenda ahera.” WayDeathHeavenHellJesus ChristSatanShetaniEverlasting LifeYesu KristoBarrierKifoMbinguniNjiaAheraKikwazoUzima Wa MileleFree WayNjia Huru Author:Enock Maregesi