“Shetani ana mbinu nyingi za kuwateka wana wa Mungu. Mwanzo sura ya tatu inaonyesha jinsi Hawa alivyoona tunda linang’aa na akazama kwenye tunda pasipokujua kuna mauti ndani yake. Shetani anaangalia kipengele unachokitumia kuchukua maamuzi magumu naye anavaa jezi kama ya kwako ili usimgundue. Roho Mtakatifu akiwa anakuongoza penye hila nafsi yako itakuongoza.” SoulDeathAspectStrategyFruitSatanHoly SpiritJerseyGenesisShetaniTough DecisionsEveChildren Of GodRoho MtakatifuHawaTundaMwanzoNafsiMautiMbinuWana Wa MunguGenesis 3JeziKipengeleMaamuzi MagumuMwanzo 3 Author:Enock Maregesi
“Katika nyuma geuka ya gwaride, wa kwanza anakuwa wa mwisho, wa mwisho anakuwa wa kwanza. Geuka, ukifika mwisho wa njia. Huo ndiyo mwanzo wa njia nyingine.” FirstLastEnd Of The RoadParadeNyumaTurn AroundNjiaKwanzaMwanzoGeukaGwarideMwanzo Wa NjiaMwishoMwisho Wa Njia Author:Enock Maregesi
“Ukarimu ni bora kuliko hekima, na kulitambua hilo ndiyo mwanzo wa hekima.” WisdomRecognitionGenerosityBetterBeginningHekimaUkarimuBoraMwanzoUtambuzi Author:Enock Maregesi