“Badilisha tabia. Badilisha mazingira ya maisha yako. Haijalishi una umri kiasi gani au wewe ni mwanamke au mwanamume, bado hujachelewa kubadili maisha yako kutoka duni kuwa bora – kuwa na amani, furaha na kuridhika. Kama desturi yako ni kuamka saa 12:00 asubuhi kila siku ili ufike kazini saa 2:00 asubuhi ambao ni muda wa serikali wa kuanza kazi, amka saa 11:30 asubuhi ili ufike kazini saa 1:30 asubuhi – nusu saa kabla ya kuanza kazi. Kama unafanya kazi ya taaluma uliyosomea lakini maisha hayaendi, fikiria kubadili mwelekeo wa maisha ikiwemo taaluma kufikia malengo uliyojiwekea.” LifeGovernmentAgeHappinessPeacePoorAttitudeEnvironmentProfessionGoalsManWomanBetterMaishaAmaniCustomMwanamkeSerikaliFurahaMwanamumeTabiaMalengoMazingiraBoraUmri05 30 Hrs06 00 Hrs07 30 Hrs08 00 HrsDesturiDuniHalf An HourNusu SaaSaa 1 30 AsubuhiSaa 11 30 AsubuhiSaa 12 00 AsubuhiSaa 2 00 AsubuhiTaaluma Author:Enock Maregesi
“Ukarimu ni bora kuliko hekima, na kulitambua hilo ndiyo mwanzo wa hekima.” WisdomRecognitionGenerosityBetterBeginningHekimaUkarimuBoraMwanzoUtambuzi Author:Enock Maregesi