“Siri ya utajiri ni mawazo ya mtu. Maisha unayoishi uliyataka mwenyewe. Amka uishi. Hii ndiyo siri kubwa ya utajiri kuliko zote ulimwenguni. Ukifikiria chanya maisha yako yatakuwa chanya, ukifikiria hasi maisha yako yatakuwa hasi. Unachofikiria ndicho unachokuwa. Siri ya mafanikio yako ni jumla ya mambo unayoyawaza.” LifeIdeasPositiveNegativeWake UpMaishaMawazoAmkaChanyaHasiThe Secret Of SuccessSecrets Of WealthSiri Ya MafanikioSiri Ya Utajiri Author:Enock Maregesi
“Maisha ni kitu cha ajabu kuliko vyote ulimwenguni kilichowashangaza hata wanasayansi wa dunia hii. Amka na uujue ukweli.” LifeUniverseThis WorldWake UpScientistsMaishaUlimwenguWanasayansiAmkaDunia Hii Author:Enock Maregesi
“Amka, fumbua macho, uujue ukweli.” Wake UpOpen Your EyesKnow The TruthAmkaFumbua MachoUujue Ukweli Author:Enock Maregesi
“Mungu ni mkubwa kuliko jumla ya matatizo yote na vitu vyote alivyoviumba na ana uwezo wa kufanya kila kitu alichosema atafanya bila kupunguza au kuongeza chochote. Usidanganywe na matatizo. Amka, kabla kifo hakijakufika.” GodDeathWake UpProblemsMunguMatatizoKifoAmka Author:Enock Maregesi