“Kiungo chochote kikikuuma ghafla na kuacha au kikiendelea kukuuma kwa muda fulani halafu kikaacha, halafu huna sababu ya kwa nini kinakuuma, angalia unawaza nini wakati kiungo hicho kinakuuma. Kisha lifanyie kazi wazo hilo kwa maombi hata ya sekunde tano! Funika tatizo hilo, hata kama hulijui, kwa damu ya Yesu!” PrayersMaombiSee What You ThinkAngalia Unawaza NiniBy The Blood Of JesusCover That ProblemEven If You Don T Know ItFive SecondsFunika Tatizo HiloHata Kama HulijuiKiungo Chochote Kikikuuma GhaflaKwa Damu Ya YesuLifanyie Kazi Wazo HiloMake An Idea WorkSekunde Tano Author:Enock Maregesi