“Chumvi si dawa ya kuzuia wachawi au dawa ya kuzuia nguvu kutoka ulimwenguni. Chumvi inazuia wachawi, lakini vilevile inazuia bahati. Dawa halisi ya kuzuia wachawi ni Mwenyezi Mungu.” UniverseMedicineSaltWitchesPositive EnergyNegative EnergyMwenyezi MunguGod AlmightyWachawiUlimwenguniBahatiDawaChumvi Author:Enock Maregesi
“Kuwa na uraibu wa mafanikio, si wa dawa.” SuccessAddictionDrugsMafanikioDawaUraibu Author:Enock Maregesi
“Usuluhishi ni dawa ya uhusiano mwema miongoni mwa watu.” PeopleRelationshipMedicineReconciliationGood RelationshipWatuDawaUhusianoUsuluhishiUhusiano Mwema Author:Enock Maregesi