“I stared out of the window, at my Bronco rusting in the parking lot, the metal eager to get back to just being dirt. Life was probably easier for it back then.” LifeEasyEasierRustMetalDavid WongFord BroncoBroncoRusting Book:This Book Is Full of Spiders Source: This Book Is Full of Spiders
“Ford Bronco ilikuwa sehemu ya upelelezi wa polisi wa Tume ya Dunia, na ilipigwa mnada baada ya upelelezi na kesi kumalizika. Kiasi kikubwa cha pesa iliyopatikana kilikwenda kwa WPD – Idara ya Polisi ya Tume ya Dunia – ili iendelee kuimarisha huduma ya kukomesha biashara haramu ya madawa ya kulevya duniani.” WorldMoneyServiceDuniaCasePesaAuctionHudumaFord BroncoKesiIdara Ya Polisi Ya Tume Ya DuniaIllegal Drugs BusinessMnadaWodec Police DepartmentWodec Police InvestigationWpd Author:Enock Maregesi
“Wakati Ford Bronco inatoka katika Kiwanda cha Dongyang Pharmaceuticals S.A de C.V. (kilichomilikiwa na mkurugenzi mkuu wa 'methamphetamine' wa Kolonia Santita mfanyabiashara wa Kichina kutoka Chaling, katika jimbo la Hunan, kusini ya kati ya China, Li Dongyang; na mkurugenzi wa usalama wa Kolonia Santita kutoka Lomas de Chapultepec, Mexico City, Gortari Manuel) Daniel Yehuda na Radia Hosni, waliokuwa wakipiga picha kila kitu kilichokuwa kikiingia na kutoka kiwandani kwa ajili ya ripoti ya upelelezi wao ya baadaye, waliiona. Lakini, hawakujua kama ilikuwa ikienda Varsovia kumuua Murphy na Sajini Mogens. Bronco ilipofika Varsovia ilisimama kwa fujo mbele ya SUV ya msafara wa Mtoto wa Rais Debbie Patrocinio Abrego, aliyekuwa ndani ya Mgahawa wa Angus akicheza muziki wa 'mariachi' na John Murphy, huku Mogens akilinda usalama wa kamanda wake na usalama wa baa nzima. Kabla majambazi wa Kolonia Santita hawajaleta madhara au fujo yoyote kwa Vijana wa Tume, polisi walifika eneo lile haraka ilivyowezekana! Kwa msaada wa walinzi wa Debbie! Wale majambazi walipekuliwa na kukutwa na bastola moja ya Akdal Ghost, bunduki mbili za AK-47, na picha nne za Vijana wa Tume ndani ya gari yao. Polisi waliwakamata na kuwapeleka katika kituo cha polisi cha Tume ya Dunia kilichopo Zona Rosa, Mexico City.” PoliceMexico CityKolonia SantitaAk 47PistolJohn MurphyMethamphetamineDebbie Patrocinio AbregoVijana Wa TumeSuvPolisiDaniel YehudaRadia HosniFord BroncoGortari ManuelMariachiBastolaDongyang PharmaceuticalsLi DongyangMethamfetaminiAkdal GhostAngus CaféChinese Businessman From ChalingEspionage ReportHunan ProvinceJimbo La HunanKusini Ya Kati Ya ChinaLomas De ChapultepecMgahawa Wa AngusMsafara Wa Mtoto Wa RaisPresident S Daughter S ConvoyRipoti Ya UpeleleziSajini MogensSouth Central ChinaVarsoviaZona Rosa Author:Enock Maregesi