“Debbie alilia. Alilia kwa nguvu zake zote. Alijua tayari alishampoteza Murphy na yote yale huenda alisababisha yeye. Bila kujuana na Vijana wa Tume huenda wasingepigwa. Debbie Hakukata tamaa. Alikumbuka kitu halafu akamwita dereva. Alimwomba dereva amkimbize Roma Notre haraka ilivyowezekana. Alidhani alijua majambazi walikokuwa wakikimbilia na kuna kitu alitaka kufanya. Dereva akamkubalia na kuondoka kuelekea Roma Notre. Njiani Debbie hakuacha kulia. Aliwaza alivyompoteza Marciano, akawaza kumpoteza na Murphy. Jibu alilolipata ni kumwokoa Murphy kwa gharama yoyote ile.” PriceJohn MurphyDriverVijana Wa TumeDebbieDebbie PatrocinioMajambaziMarcianoGharamaDebbie Patrocinoi AbregoDerevaJohn Murphy AmblikileRoma Notre Book:Kolonia Santita Source: Kolonia Santita
“Yesu Kristo alilipa gharama ya maisha yake kutununua kutoka kwa Shetani. Alijitolea maisha yake ili wengine waweze kuishi. Upendwe vipi?” LifePayJesus ChristSatanPriceShetaniMaishaYesu KristoGharamaLipa Author:Enock Maregesi