“Ubatizo ni toba iletayo ondoleo la dhambi. Mwangushe Goliati wa uzinzi katika maisha yako kwa kumtumia Yesu Kristo, ambaye ni Daudi wa mapandikizi yote ya dhambi katika maisha yetu.” LifeSinBaptismMaishaDavidGoliathDhambiDaudiUbatizoGoliati Author:Enock Maregesi
“Daudi alimshinda Goliati akiwa na umri wa miaka 15. Lakini akiwa na umri wa miaka 45 Goliati alimshinda Daudi.” DavidGoliathDaudiGoliati Author:Enock Maregesi