“Yeyote anayekosoa kwa kutafuta makosa ya mipango yako bila kujua mipango yako ilivyojijenga ni mwaribifu. Mtu yeyote anayevunja itifaki za uongozi hawezi kufanikiwa maisha. Mungu huinua wenye unyenyekevu” LoveLifeUongoziItifaki Author:Kennedy Mmbando