“Heshimu kila mtu. Ongea na kila mtu. Msikilize kwa makini kila unayeongea naye. Maana Mungu anaweza kumtumia mtu yeyote, hata kichaa, kukupa ufunuo wa mambo yake.” GodMunguMad PersonListen CarefullyRespect EveryoneHeshimu Kila MtuKichaaSikiliza Kwa Makini Author:Enock Maregesi