“Kuna vita za aina mbili zinazopiganwa hapa duniani: vita ya maisha na vita ya dhambi. Unaweza kushinda vita ya maisha (maisha ya raha) lakini ukashindwa vita ya dhambi (maisha ya laana). Kushinda vita ya dhambi ni lazima umkaribishe Mwana wa Mungu Mfalme wa Amani, Yesu Kristo wa Nazareti Aliye Hai, kama Bwana na Mwokozi wa maisha yako.” WorldLifeWarGodEarthSinBattleJesus ChristHappy LifeAmerican DreamBattlefieldSon Of GodJesus Christ Of NazarethDream LifeLiving GodCursed LifeKing Of Peace Author:Enock Maregesi