“Hii ndiyo kanuni ya nguvu ya uvutano: Kuamini = kujua! Haijalishi unamwamini Mungu au haumwamini. Kugeuza kuamini kuwa kujua si kazi rahisi hata kidogo, lakini ukigeuza kuamini kuwa kujua utafanikiwa.” GodKnowingLaw Of AttractionMunguBelievingKanuni Ya Nguvu Ya UvutanoKujuaKuamini Author:Enock Maregesi
“Mungu anaweza kusamehe kutokujua kwetu kwa sababu hatuwezi kukiamini kile tusichokijua; na hata kama tutaweza kuadhibiwa kwa kile tusichokijua, hatutaweza kuadhibiwa vikali kama ambavyo tutaweza kuadhibiwa kwa kile tunachokijua.” GodKnowingNot KnowingMunguKujuaKutokujua Author:Enock Maregesi