“Zaka husaidia kueneza injili duniani kote. Ukitoa zaka umesaidia kueneza injili duniani kote. Toa zaka na mapato yako yatabarikiwa. Usitoe zaka na mapato yako yatalaaniwa.” BlessedGospelCursedTitheEarningsInjiliWorldwideZakaMapatoDuniani KoteKubarikiwaKulaaniwa Author:Enock Maregesi