“Nilijifunza toka awali umuhimu wa kushindwa katika maisha ijapokuwa nilijitahidi sana, na nilipoendelea kushindwa niliweka nadhiri ya kufanya kitu kimoja kilicholeta maana zaidi katika maisha yangu nacho ni uandishi wa vitabu. Uandishi wa vitabu ndicho kitu pekee nilichokiweza zaidi kuliko vingine vyote na kuanzia hapo Mungu aliniweka huru. Nilijua mimi ni nani. Nilijua kwa nini nilizaliwa. Nilijifunza falsafa ya kuacha dunia katika hali nzuri kuliko nilivyoikuta – kwa sababu hata mimi nilikuwepo – na falsafa ya kushindwa si hiari. Maarifa hayo yakafanya niwe na heshima na upendo kwa watu wote.” PeopleWorldLoveLifePhilosophyGodKnowledgeFailureRespectImportanceMeaningFreeVowMunguDuniaMaishaWatuFailure Is Not An OptionMy LifeMaarifaUpendoHeshimaMaanaEarlierKushindwaMaisha YanguHuruNadhiriFalsafaKushindwa Si HiariAwaliBooks WritingUandishi Wa VitabuUmuhimu Author:Enock Maregesi
“Chukia kushindwa, zaidi ya unavyofurahia kushinda.” WinningFailureHatredChukiKushindwaKushinda Author:Enock Maregesi
“Kitu kikishindikana katika maisha yako kamwe usikate tamaa kwa sababu kushindwa ni mama wa mafanikio na kukata tamaa ni mama wa kushindwa.” LifeFailureGiving UpMaishaKushindwaKukata TamaaDo Not Ever Give UpKamwe Usikate TamaaMama Wa KushindwaMama Wa MafanikioMother Of FailureMother Of Success Author:Enock Maregesi
“Kuna siri nyingi za ndani zinazofanya mtu aendelee kufanikiwa, na kuna siri nyingi za nje zinazofanya mtu aendelee kuficha siri ya mafanikio yake. Siri za ndani ni siri za kweli, ilhali siri za nje ni siri za uongo, zenye lengo la kuficha ukweli. Hata hivyo, siri ya mafanikio ni kufanya kazi kwa bidii na maarifa, pamoja na siri.” MafanikioSiriMaarifaKushindwaUchapakaziSiri Za NdaniSiri Za Nje Author:Enock Maregesi