“Hakuna shaka yoyote (kwa mfano) kwamba mboga za majani na matunda vina vitamini nyingi mwilini na madini na vitu vyote vizuri katika mwili wa binadamu, na kwamba kadhalika vina kirutubisho cha ufumwele ambacho huzuia kufunga choo na matatizo mengine ya mfumo wa usagaji chakula. Kirutubisho hiki kikizidi mwilini utapata matatizo makubwa yatakayoweza hata kukusababishia kifo!” BodyDeathHumanNo DoubtProblemsVegetablesFiberMineralsFruitsMatatizoBinadamuConstipationVitaminDigestive SystemKifoNutrientMadiniMatundaMfumo Wa Usagaji ChakulaMwiliniHakuna Shaka YoyoteKirutubishoKufunga ChooMboga Za MajaniUfumweleVitamini Author:Enock Maregesi
“Ubatizo ni hatua ya kwanza ya wokovu, na Wakristo ni matunda ya kwanza ya Mungu.” GodSalvationBaptismChristiansMunguFruitsWakristoWokovuUbatizoMatunda Author:Enock Maregesi