“Kujisajili ni lazima kwa mujibu wa sheria, lakini si kila msanii ambaye hajajisajili BASATA anajua kuwa anafanya kosa.” LawArtistMistakeSheriaBasataKosaMsanii Author:Enock Maregesi
“Kazi yenu kwetu ni kutusaidia, na kazi yetu kwenu ni kuwasaidia pia; kwani kila mwananchi anao wajibu wa kuisaidia serikali yake. BASATA, katika jina la Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, endeleeni kuhamasisha na kuhakikisha wasanii wote nchini wanajisajili; kwa kuendelea kutoa tuzo mbalimbali za sanaa na jitihada nyingine, na kwa kuendelea kufuatilia kuhakikisha kuwa kila msanii anajisajili na kupata kibali.” ResponsibilityConstitutionArtistsCitizenTanzaniaBasataMwananchiKatibaMsaniiWajibu Author:Enock Maregesi
“BASATA (Baraza la Sanaa la Taifa) hawataweza kukutambua kwa sababu hujajisajili kwao, na kushirikiana na msanii ambaye hajajisajili BASATA ni kinyume cha sheria.” LawArtistSheriaBasataMsaniiBaraza La Sanaa La TaifaNational Arts Council Author:Enock Maregesi