“Mama anaweza kufa ili mwanawe aishi, anaweza kufunga na kuomba ili mwanawe Mungu amsaidie ashinde mtihani wake, anaweza kulala njaa ili mwanawe ale, anaweza kujitolea vitu vingi au mambo mengi katika maisha yake ili mwanawe aishi vizuri, anaweza kuingia dhambini ili mwanawe asamehewe.” LifeGodMotherSinSacrificeDieStarvingExaminationMamaMunguMaishaFasting And PrayingKufaKujitoleaMtihaniKufunga Na KuombaKuingia DhambiniKulala Njaa Author:Enock Maregesi
“Unaposhindwa katika mtihani wa kimaisha, usiangukie nyuma, angukia mbele.” TestFall ForwardMtihaniAngukia MbeleNever Fall BackwardUsiangukie Nyuma Author:Enock Maregesi