“Robert Louis Stevenson wa Uskochi aliponukuu nahau ya ‘kamera haiwezi kudanganya’ katika kitabu chake cha ‘South Seas’ mwaka 1896, miaka 57 baada ya sanaa ya upigaji wa picha kugunduliwa, hakumaanisha tuwe asili. Hakumaanisha tusizirekebishe picha zetu baada ya kuzipiga na kuzisafisha! Alimaanisha tuwe nadhifu tuonekanapo mbele za watu au mbele ya vyombo vya habari; ambapo picha itapigwa, itasafishwa, itachapishwa na itauzwa kama ilivyo bila kurekebishwa.” PeopleNaturalMediaPhotographySmartScotlandIdiomWatuCameraPhotosAsiliRobert Louis StevensonKameraSouth SeasNadhifuPicha57 YearsCamera Never LiesKamera HaidanganyiMiaka 57Mwaka 1896NahauSanaa Ya Upigaji Wa PichaUskochiVyombo Vya HabariYear 1896 Author:Enock Maregesi