“Biblia inatuambia kuwa tuombe bila kukoma. Lakini tutaombaje bila kukoma? Njia mojawapo ya kufanya hivyo ni kutumia ‘maombi ya pumzi’ kila siku kama ambavyo Wakristo wengi wamekuwa wakifanya kwa karne nyingi. Unachagua sentensi fupi au maneno rahisi kuhusu Yesu unayoweza kuyasema na kuyarudia kimoyomoyo kila siku katika kila pumzi inayoingia na kutoka ndani ya mapafu yako! Kwa mfano: “Asante Yesu.” “U pamoja nami.” “Nataka kukujua.” “Napokea neema yako.” “Nakutegemea wewe.” “Mimi ni wako.” “Nisaidie nikuamini.” “U Mungu wangu.” “Naishi kwa ajili yako.” “Nisamehe dhambi zangu zote.” Fundisha akili yako kumkumbuka Mungu kila wakati.” JesusBibleBreathChristiansSimple WordsBibliaYesuAll The TimePray Without CeasingWakristoI Am YoursPumziThank You JesusAsante YesuBreath PrayersForgive Me Of All My SinsFundisha Akili YakoHelp Me To Believe YouI Depend On YouI Live For YouI Need To Know YouI Receive Your GraceKarne NyingiKila WakatiKumkumbuka MunguManeno RahisiMany CenturiesMaombi Ya PumziMimi Ni WakoNaishi Kwa Ajili YakoNakutegemea WeweNapokea Neema YakoNataka KukujuaNisaidie NikuaminiNisamehe Dhambi Zangu ZoteSentensi FupiShort SentencesTo Remember GodTrain Your MindTuombe Bila KukomaU Mungu WanguU Pamoja NamiYou Are My GodYou Are With Me Author:Enock Maregesi