“Kama unataka kuijua vizuri historia ya mwanamke hasa mwanamke unayetaka kuoana naye, usifanye naye mapenzi kwa miezi sita angalau. Ukifanya naye mapenzi kwa miezi sita au zaidi, au ndani ya miezi sita, halafu akakuchanganya kimapenzi, hutakuwa na uwezo mkubwa wa kuwasikiliza watu kuhusiana na historia yake.” PeopleLoveSexHistoryPowerWomanSix MonthsHistoriaWatuMwanamkeUwezoFiancéeMapenziMiezi SitaMchumbaNgono Author:Enock Maregesi
“Shetani hawezi kusoma ndani ya myoyo ya wanadamu mpaka wanadamu wenyewe wamwonyeshe. Ukionyesha tamaa ya ngono, Shetani atakupa ngono. Ukionyesha tamaa ya ulevi, Shetani atakupa ulevi. Ukionyesha tamaa ya wizi, Shetani atakupa wizi. Usimpe nafasi Shetani.” HumansSatanTheftDrunkennessShetaniSexual IntercourseWanadamuNgonoUleviWizi Author:Enock Maregesi